title : SHIRIKA LA BRAC LAKABIDHI VIFAA VYA MILIONI 153 KWA WASICHANA WAJASIRIAMALI 700 TANGA.
kiungo : SHIRIKA LA BRAC LAKABIDHI VIFAA VYA MILIONI 153 KWA WASICHANA WAJASIRIAMALI 700 TANGA.
SHIRIKA LA BRAC LAKABIDHI VIFAA VYA MILIONI 153 KWA WASICHANA WAJASIRIAMALI 700 TANGA.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi kushoto akimkabidhi cherehani cha kusonea nguo Aisha Mohamed wakati alipokwenda kuwakabidhi vifaa vyenye thamani ya sh.milioni 153 wasichana wajasiriamali 700 vilivyotolewa na Shirika la BRAC kwa wasichana waliopata mafunzo ya ujasiriamali na shirika hilo
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi kushoto akimkabidhi mashine ya kukaushia nywele mwanafunzi Thabituwa Shabani wakati wa halfa hiyo kulia ni Meneja Mipango wa Elimu kutoka BRAC Tanzania Amina Shaban
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi katikati akikabidhi mabegi ya kike kwa wasichana 700 wa mkoa wa Tanga kushoto ni Meneja Mipango wa Elimu kutoka BRAC Tanzania Amina Shabani .
Hivyo makala SHIRIKA LA BRAC LAKABIDHI VIFAA VYA MILIONI 153 KWA WASICHANA WAJASIRIAMALI 700 TANGA.
yaani makala yote SHIRIKA LA BRAC LAKABIDHI VIFAA VYA MILIONI 153 KWA WASICHANA WAJASIRIAMALI 700 TANGA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA BRAC LAKABIDHI VIFAA VYA MILIONI 153 KWA WASICHANA WAJASIRIAMALI 700 TANGA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/shirika-la-brac-lakabidhi-vifaa-vya.html
0 Response to "SHIRIKA LA BRAC LAKABIDHI VIFAA VYA MILIONI 153 KWA WASICHANA WAJASIRIAMALI 700 TANGA."
Post a Comment