MASHINDANO YA GOFU AFRIKA MASHARIKI YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO

MASHINDANO YA GOFU AFRIKA MASHARIKI YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MASHINDANO YA GOFU AFRIKA MASHARIKI YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MASHINDANO YA GOFU AFRIKA MASHARIKI YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO
kiungo : MASHINDANO YA GOFU AFRIKA MASHARIKI YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO

soma pia


MASHINDANO YA GOFU AFRIKA MASHARIKI YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO

JUMLA ya nchi Sita leo zimeanza mchuano mkali katika mashindano ya gofu ya kanda ya tano ya Afrika yaliaonza kutimua vumbi katika Viwanja vya Gymkhana, jijini Dar es Salaam.

Mashindano hayo ya siku tatu yaliyoanza jana yanazishirikisha nchi za Rwanda,Burundi,Ethiopia,Uganda, Kenya na wenyeji Tanzania. Katika mchezo uliochezwa jana upande wa ‘Singel’s kati ya Amani saidi kutoka Tanzania na John Karicho kutoka Kenya wachezaji hao walitoka sare katika mashimo 18 waliyocheza. 

Akizungumza baada ya mchuano huo kumalizika, Karicho kutoka Kenya, alisema kuwa mchuano ulikuwa mzuri na wenye upinzani mkubwa kutokana jinsi alivyokuwa nyuma kwa viwanja 3-0 kati ya viwanja 9 walivyocheza. 

Aidha Karicho, alisema kuwa uchezaji wa mpinzani wake, Saidi ni mzuri sana na katika mchezo huo alidai alicheza kwa uangalifu mkubwa katika viwanja 9 vya mwisho kuhakikisha anasawazisha matokeo hayo. 
MCHEZAJI wa Timu ya Gofu ya Tanzania, Amani Said, akipiga mpira katika Shimo Namba 9, wakati akichuana na mpinzani wake John Karichu, kutoka nchini Kenya, katika mashindano ya Tano ya Kanda ya Afrika Mashariki yanayoshirikisha Nchi Sita za Tanzania, Ethiopia, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda, yaliyoanza jana katika Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya mashabiki wa mchezo huo waliofika kushuhudia mchuano huo. 



Hivyo makala MASHINDANO YA GOFU AFRIKA MASHARIKI YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO

yaani makala yote MASHINDANO YA GOFU AFRIKA MASHARIKI YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MASHINDANO YA GOFU AFRIKA MASHARIKI YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mashindano-ya-gofu-afrika-mashariki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MASHINDANO YA GOFU AFRIKA MASHARIKI YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO"

Post a Comment