title : Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana Afanya Mazungumzo na Mabalozi wa Nchi Tano za Ukombozi Kusini Mwa Afrika leo Jijini Dar es Salaam.
kiungo : Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana Afanya Mazungumzo na Mabalozi wa Nchi Tano za Ukombozi Kusini Mwa Afrika leo Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana Afanya Mazungumzo na Mabalozi wa Nchi Tano za Ukombozi Kusini Mwa Afrika leo Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akiwa katika mazungumzo na Mabalozi wa nchi tano za Ukombozi Kusini mwa Afrika, wanaoziwakilisha nchini zao hapa nchini, alipokutana nao katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Mabalozi hao ni wa nchi za Zimbambwe, Zambia, Namibia, Msumbiji na Afrika Kusini.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati), akiwa na Mabalozi wa nchi tano za Ukombozi Kusini mwa Afrika, wanaoziwakilisha nchini zao hapa nchini, baada ya mazungumzo nao katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Mabalozi hao ni wa nchi za Zimbambwe, Zambia, Namibia, Msumbiji na Afrika Kusini. (Picha na Bashir Mkoromo)
Hivyo makala Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana Afanya Mazungumzo na Mabalozi wa Nchi Tano za Ukombozi Kusini Mwa Afrika leo Jijini Dar es Salaam.
yaani makala yote Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana Afanya Mazungumzo na Mabalozi wa Nchi Tano za Ukombozi Kusini Mwa Afrika leo Jijini Dar es Salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana Afanya Mazungumzo na Mabalozi wa Nchi Tano za Ukombozi Kusini Mwa Afrika leo Jijini Dar es Salaam. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/katibu-mkuu-wa-ccm-ndg-kinana-afanya.html
0 Response to "Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana Afanya Mazungumzo na Mabalozi wa Nchi Tano za Ukombozi Kusini Mwa Afrika leo Jijini Dar es Salaam."
Post a Comment