title : MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJENGO YA MAHAKAMA MKOANI MARA
kiungo : MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJENGO YA MAHAKAMA MKOANI MARA
MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJENGO YA MAHAKAMA MKOANI MARA
Pichani ni muonekano wa jengo la Mahakama ya Mwanzo Robanda lililopo Serengeti wilayani Mugumu, jengo hili lilijengwa kwa nguvu za wananchi na kumaliziwa na Mahakama ya Tanzania lilikabidhiwa rasmi tayari kwa matumizi Januari 26, 2018, uwepo wa jengo hili utasaidia kuwapunguzia wananchi aza ya kusafiri kilomita zipatazo 40 kwenda Mahakama ya Mwanzo Serengeti kutafuta haki zao.
Maafisa Tawala wa Mahakama mkoani Mara wakionyesha baadhi ya ofisi za jengo hilo; hapo ni sehemu ya ukumbi wa Mahakama hiyo ‘court room’ ambayo ina ukubwa wa kutosha wa kuwawezesha wananchi wenye kesi kusikiliza kesi zao bila usumbufu.
Muonekano wa Ukumbi wa Mahakama ‘court room’
Hivyo makala MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJENGO YA MAHAKAMA MKOANI MARA
yaani makala yote MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJENGO YA MAHAKAMA MKOANI MARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJENGO YA MAHAKAMA MKOANI MARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/maboresho-ya-miundombinu-ya-majengo-ya.html
0 Response to "MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJENGO YA MAHAKAMA MKOANI MARA"
Post a Comment