KWANDIKWA AKAGUA MIRADI YA UJENZI MKOANI TANGA - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KWANDIKWA AKAGUA MIRADI YA UJENZI MKOANI TANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
KWANDIKWA AKAGUA MIRADI YA UJENZI MKOANI TANGAkiungo :
KWANDIKWA AKAGUA MIRADI YA UJENZI MKOANI TANGA
KWANDIKWA AKAGUA MIRADI YA UJENZI MKOANI TANGA
Diwani wa Kata ya Mombo, Halima Mussa akizungumza jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kwandikwa (wa pili kulia) wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya sekta ya ujenzi ikiwemo barabara katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Mombo ikiwemo stendi ya Mombo jana Jumatano Februari 14, 2018. Wa kwanza kulia ni Mbunge wa Korogwe Vijijini Stephen Ngonyan
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa (katikati) akiongozwa na Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani (wa pili kulia) na Diwani wa Kata ya Mombo, Halima Mussa (kushoto) kukagua kipande cha barabara kilichopo katika stendi ya Mombo ikiwa ni sehemu yake ya kukagua miradi ya barabara katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Tanga jana Jumatano Februari 14, 2018.
Diwani wa Kata ya Mombo iliyopo Korogwe Mkoani Tanga, Halima Mussa akimpa maelezo Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa (kulia) kuhusu kuharibika kwa mtaro wa kupitisha maji machavu na uchakavu wa miundombinu ya barabara katika eneo la soko lililopo katika stendi ya Mombo Wilayani Korogwe jana Jumatano Februari 14, 2018. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani.
Hivyo makala KWANDIKWA AKAGUA MIRADI YA UJENZI MKOANI TANGA
yaani makala yote KWANDIKWA AKAGUA MIRADI YA UJENZI MKOANI TANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KWANDIKWA AKAGUA MIRADI YA UJENZI MKOANI TANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/kwandikwa-akagua-miradi-ya-ujenzi.html
0 Response to "KWANDIKWA AKAGUA MIRADI YA UJENZI MKOANI TANGA"
Post a Comment