Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) laonywa jinsi lilivyomaliza mgogoro wa Makonda na Clouds.

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) laonywa jinsi lilivyomaliza mgogoro wa Makonda na Clouds. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) laonywa jinsi lilivyomaliza mgogoro wa Makonda na Clouds., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) laonywa jinsi lilivyomaliza mgogoro wa Makonda na Clouds.
kiungo : Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) laonywa jinsi lilivyomaliza mgogoro wa Makonda na Clouds.

soma pia


Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) laonywa jinsi lilivyomaliza mgogoro wa Makonda na Clouds.

Mwambawahabari 

Kufuatia maoni ya baadhii ya watu mbalimbali na waandishi wa habari kutoridhika na maamuzi ya Jukwaa la Wahariri (TEF), viongozi wamepewa onyo la kutorudia makosa baada ya kukiri.

Katika mkutano mkuu uliofanyika Agosti 13, viongozi hao walikiri kuitisha mkutano na waandishi wa habari Agosti 9 bila ya kupata idhini.

Hatua hiyo ilisababisha kujengeka kwa taswira mbaya kiuwajibikaji, kanuni na utaratibu.

Katika taarifa ya Mwenyekiti Maalum wa TEF, Walace Mauggo imeeleza kuwa jukwaa kwa kauli moja limetoa onyo kwa viongozi wake kutorudia yale ambayo yamejitokeza.

“Baada ya kutafakari na kutathmini mwenendo wa mkutano huo, jukwaa lilobaini kuwepo kwa kasoro kubwa wakati wa kurejesha mahusiano wa kikazi na kiongozi ambaye habari zake zilizuiwa kuripotiwa kwa takribani miezi mitano,”imeeleza taarifa hiyo.

Pia wametakiwa kuhakikisha kunapotokea masuala makubwa kama hayo ambayo yashafanyiwa maamuzi na mkutano mkuu na taasisi nyingine za habari yanarudiswa maamuzi kwa wanachama kabla ya hatua za  mwisho.

Mauggo ameeleza kuwa TEF haitasita kuchukua hatua kwa kiongozi au mtu yoyote atakayeonekana kutishia usalama wa wanahabari, uhuru wa uhariri na vyombo vya habari.


Hivyo makala Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) laonywa jinsi lilivyomaliza mgogoro wa Makonda na Clouds.

yaani makala yote Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) laonywa jinsi lilivyomaliza mgogoro wa Makonda na Clouds. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) laonywa jinsi lilivyomaliza mgogoro wa Makonda na Clouds. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/jukwaa-la-wahariri-tanzania-tef-laonywa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) laonywa jinsi lilivyomaliza mgogoro wa Makonda na Clouds."

Post a Comment