title : UMASKINI WATAJWA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU
kiungo : UMASKINI WATAJWA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU
UMASKINI WATAJWA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU
MwambawahabariMwenyekiti wa Sekretarieti ya Kupambana na Kuzuia Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binaadamu,ambae pia ni Mgeni Rasmi,Adatus Magere akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya kuzuia biashara hiyo.Kulia ni Mratibu wa Mradi wa Shirikal a Wahamiaji la Kimataifa, Tamara Keating.Mafunzo hayo yanashirikisha wadau mbalimbali kutoka katika nchi zilizopo katika Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC).Mafunzo hayo yanafanyika jijini Dar es Salaam.
Afisa Mkuu wa Kitengo cha Jinsia kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Joseph Pitso,akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binaadamu. Wengine ni Mwenyekiti wa Sekretarieti ya kupambana na biashara hiyo,ambaye pia ni Mgeni Rasmi, Adatus Magere na Mratibu wa Mradi wa Shirika la Wahamiaji la Kimataifa nchini, Tamara Keating.Mafunzo hayo yanashirikisha wadau mbalimbali kutoka katika nchi zilizopo katika Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika(SADC).Mafunzo hayo yanafanyika jijini Dar es Salaam.
MratibuwaMradiwaShirika la Wahamiaji la Kimataifanchini, Tamara Keating, akizungumzawakatiwaUfunguziwaMafunzoyaKuzuianaKupambananaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinaadamu,WengineniMwenyekitiwaSekretarietiyaKupambananaKuzuiaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinaadamu,ambae pia niMgeniRasmi, AdatusMagerenaAfisaMkuuwaKitengo cha JinsiakutokaJumuiyayaMaendeleoyaKusinimwaAfrika (SADC), Dk. Joseph Pitso.Mafunzoyanashirikishawajumbekutokakatikanchi zilizomo katikaJumuiyayaMaendeleoyaKusinimwaAfrika(SADC) hayoyanafanyikajijini Dar es Salaa
KatibuMkuuwaSekretarietiyaKupambananaKuzuiaBiasharaHaramuyaBinaadamu,Separatus Fella,akizungumzawakatiwaUfunguziwaMafunzoyaKuzuianaKupambananaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinaadamuyanayoshirikishanchi zilizomo katikaJumuiyayaMaendeleoyaKusinimwaAfrika(SADC).Mafunzohayoyanafanyikajijini Dar es Salaam.
Mtoamadakutokanchini Zimbabwe,Jacinta Hofnie, akiwasilishamadakwawashirikiwaMafunzoyaKuzuianaKupambananaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinaadamukutokakatikanchi zilizomo katikaJumuiyayaMaendeleoyaKusinimwaAfrika(SADC) yanayofanyikajijini Dar es Salaam.
MwenyekitiwaSekretarietiyaKupambananaKuzuiaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinaadamu, ambae pia niMgeniRasmi, AdatusMagere (watatukulia), akiwakatikapichayapamojanawashirikiwaMafunzoyaKuzuianaKupambananaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinadamukatikanchi zilizomo katikaJumuiyayaMaendeleoyaKusinimwaAfrika (SADC) yanayofanyikajijini Dar es Salaam.
……………………..
Na MwandishiWetu.
Hali ngumuyamaishaikiwepoukosefuwamahitajimuhimuimetajwakamasababukubwainayochocheaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinadamuhukuwaaathirikawabiasharahiyowakiahidiwamaishamazurikatikanchiwanazopelekwa.
AkizungumzawakatiwaUfunguziwaMafunzoyaKuzuianaKupambananaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinadamu, MwenyekitiwaSekretarietiyaKupambananaKuzuiaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinadamu(ATP), ambaye pia nimgenirasmikatikamafunzohayo, AdatusMagereamesemawahusikawabiasharahiyowamekuawakiwarubuniwaathirikawabiasharahiyokuwapatiamaishamazurinakujikutawakiingiakatikamadharayabiasharahiyo.
Aliongezakuwakunaumuhimukwawatungasherianavyombovyasheriakutungasheriazitakazosaidiakutokomezakabisabiasharahiyokwaniimekuaikiendeleakukuasikuhadisikuhaliinayopelekeaidadiyawahangawabiasharahiyokuendeleakuongezeka.
“Tunaombawatungasherianawasimamiajiwasheriakusaidianakwapamojakatikakudhibitinakuzuiabiasharahiyokwakutoaadhabu kali kwa wale watakaobainikakuhusikamojakwamojanabiasharahiyoilitatizohililiwezekuishakatikanchizetu,” alisemaMagere.
AidhaKatibuMkuuwaSekritarietiyaKupambananaKuzuiaBiasharaHaramuyaUsafirishajiBinadamuambaye pia nimwenyejikwenyemafunzohayo, Seperatusi Fella, amesemakuwailikuwezakupambananakuzuiabiasharahiyokunaumuhimukwawadaumbaimbalikutoaelimunamafunzojuuyaatharizitokanazonausafirishajiharamuwabinadamu, hivyomafunzoyamarakwamaranimuhimukwawananchinawadaumbalimbali.
NayeMratibuwamradiwaShirika la Wahamiaji la Kimataifa (IOM), Tamara Keating ameahidikushirikiananamashirikambalimbaliilikukomeshabiasharahiyosambambanakutoaelimukwawananchiilikupatataarifayawahusikawabiasharahiyo.
RipotinatafitimbalimbalizakimataifajuuyabiasharahiyozinaoneshaTanzania nimojawapokatiyanchinyingizinazohuishwanabiasharaharamuyausafirishajibinaadamuambapowaathirikawengiwabiasharahiiniwatotowaliochiniyaumriwamiaka 18 nakuendeleawanaoahidiwakazinzurinamaishamazuripindiwafikapokatikanchiwanazopelekwa.
Mafunzohayoyanafanyikakatikahoteliya Colosseum jijini Dar es Salaam yakiwanalengo la kuletauelewawajinsibiasharahiyoinavyoendeshwapamojanakuletaushirikianokatikakukomeshabiasharaharamuyausafirishajibinadamubainayawanachamawaJumuiyayaMaendeleoyaKusinimwaAfrika.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Hivyo makala UMASKINI WATAJWA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU
yaani makala yote UMASKINI WATAJWA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UMASKINI WATAJWA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/umaskini-watajwa-biashara-haramu-ya.html
0 Response to "UMASKINI WATAJWA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU"
Post a Comment