Chuo cha TSJ chatangaza siku watakayoanza ziara ya kimasomo Mkoani Tanga

Chuo cha TSJ chatangaza siku watakayoanza ziara ya kimasomo Mkoani Tanga - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Chuo cha TSJ chatangaza siku watakayoanza ziara ya kimasomo Mkoani Tanga, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Chuo cha TSJ chatangaza siku watakayoanza ziara ya kimasomo Mkoani Tanga
kiungo : Chuo cha TSJ chatangaza siku watakayoanza ziara ya kimasomo Mkoani Tanga

soma pia


Chuo cha TSJ chatangaza siku watakayoanza ziara ya kimasomo Mkoani Tanga

Na Mary Mafuru TSJ
Mwambawahabari
 Chuo cha uandishi wa habari ( TSJ) kilichopo ilala Sherrif Shamba jijini Dar es Salaam,kinatarajia kuwa na ziara ya kimasomo mwanzoni wa mwezi wa kumi mwaka huu.

 Akizungumza na moja ya  mwandishi  wa blog hii, Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa chuo hicho hapo jana bwana Antony John Mwesongo, amesema kuwa wanatarajia kuwa na ziara hiyo mkoani Tanga ambapo watatembelea sehemu mbalimbali za mkoa huo kwa lengo la kujifunza ikiwemo Mapango ya Amboni na baadhi ya  vyombo vya habari kwani chuo chao kimebeba tasnia ya habari kwa ujumla.

  Lakini pia aliongeza na kusema, bado hawajatoa rasmi taarifa hiyo kwa wanafunzi ambao wapo tayari kwenda kujifunza huko kutokana na kuanza kwa kufanya tafiti kwenye sehemu hizo watakazotembelea na kujua gharama zitakazoweza kutosha kuanzia kwenye malazi,usafiri pamoja na chakula kwenye mkoa huo ukilinganisha na hali ya uchumi ya sasa.

   "Kuna baadhi ya wanafunzi wapo kwenye kujifunza kwa vitendo (Field) ningeomba waweze kuwapa taarifa mapema wazazi wao ili waweze kushiriki kimamilifu ziara hii kwani ni moja ya kujifunza"Alisema Antony John.

  Aidha waziri huyo amesema wazazi wawape fursa watoto wao kwa kushiriki kikamilifu katika ziara hiyo ya kimasomo ili waweze kujifunza kwa vitendo mambo mbalimbali yanayohusu tasnia ya uandishi wa habari kwa ujumla.


Hivyo makala Chuo cha TSJ chatangaza siku watakayoanza ziara ya kimasomo Mkoani Tanga

yaani makala yote Chuo cha TSJ chatangaza siku watakayoanza ziara ya kimasomo Mkoani Tanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Chuo cha TSJ chatangaza siku watakayoanza ziara ya kimasomo Mkoani Tanga mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/chuo-cha-tsj-chatangaza-siku.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Chuo cha TSJ chatangaza siku watakayoanza ziara ya kimasomo Mkoani Tanga"

Post a Comment