title : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AREJEA JIJINI DAR
kiungo : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AREJEA JIJINI DAR
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AREJEA JIJINI DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Kimataifa wa JK Nyerere akitokea mkoani Lindi ambako alifunga maadhimisho ya 24 ya sherehe ya Siku ya Mkulima (Nane Nane) kwenye viwanja vya Ngongo jana. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AREJEA JIJINI DAR
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AREJEA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AREJEA JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/makamu-wa-rais-samia-suluhu-hassan_57.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AREJEA JIJINI DAR"
Post a Comment