WAZIRI WA ZANZIBAR KUFUNGA MAONESHO YA 41 YA BIASHARA KIMATAIFA KESHO

WAZIRI WA ZANZIBAR KUFUNGA MAONESHO YA 41 YA BIASHARA KIMATAIFA KESHO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI WA ZANZIBAR KUFUNGA MAONESHO YA 41 YA BIASHARA KIMATAIFA KESHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI WA ZANZIBAR KUFUNGA MAONESHO YA 41 YA BIASHARA KIMATAIFA KESHO
kiungo : WAZIRI WA ZANZIBAR KUFUNGA MAONESHO YA 41 YA BIASHARA KIMATAIFA KESHO

soma pia


WAZIRI WA ZANZIBAR KUFUNGA MAONESHO YA 41 YA BIASHARA KIMATAIFA KESHO

Na Chalila Kibuda, Global ya Jamii

Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Amina Salum anaratajiwa kuwa mgeni rasimi kesho katika ufungaji wa maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Viwanda , Biashara na Uwekezaji kupitia Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara nchini (Tantrade) ilisema kuwa maonesho hayo yataitimishwa na Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Amina Salum ambaye atatoa vyeti kwa washindi wa mabanda bora yaliyoshiriki maonesho hayo.

Taarifa hiyo ilisema kuwa maonesho hayo yatafungwa majira ya saa saba kwa hotoba ya Waziri huyo na kufuatana na viongozi mbalimbali wakiwemo waandaji wa Maonesho hayo.

Wakati huo katika maonesho hayo wananchi wameendelea kufika katika viwanja vya sabasaba kwa kupata huduma pamoja bidhaa za washiriki.

Mabanda ambayo yamekuwa na watu katika siku ya maonesho tangu siku kwanza hadi leo ni mabanda Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pamoja na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

Katibu Mkuu wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji , Profesa Adolf Mkenda akimpa maelekezo Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) ,Mcharo Mrutu katika maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji , Profesa Adolf Mkenda akisaini kitabu cha wageni katika maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala WAZIRI WA ZANZIBAR KUFUNGA MAONESHO YA 41 YA BIASHARA KIMATAIFA KESHO

yaani makala yote WAZIRI WA ZANZIBAR KUFUNGA MAONESHO YA 41 YA BIASHARA KIMATAIFA KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA ZANZIBAR KUFUNGA MAONESHO YA 41 YA BIASHARA KIMATAIFA KESHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/waziri-wa-zanzibar-kufunga-maonesho-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI WA ZANZIBAR KUFUNGA MAONESHO YA 41 YA BIASHARA KIMATAIFA KESHO"

Post a Comment