title : JICA watembelea hospitali yaTaifa ya Muhimbili
kiungo : JICA watembelea hospitali yaTaifa ya Muhimbili
JICA watembelea hospitali yaTaifa ya Muhimbili
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza na ujumbe kutoka JICA. Ujumbe huo umetembelea wagonjwa pamoja na miradi mbalimbali ya kuboresha huduma za afya katika hospitali hiyo leo.
Wageni kutoka JICA wakiwa katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru. Kutoka kushoto ni Ofisa wa Hospitali Kuu ya Shonan Kamakura, Emiko Shiono, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa JICA Idara ya Afrika, Komori Masakatsu, Mwakilishi wa Afrika nchini Japan, Milanga Mwanatambwe na Meneja wa Tiba, Injinia Katsumasa Shirai.
Ofisa Mipango, Catherine Shirima (kulia) wa JICA na Yamae Mikuni kutoka Japan wakiwa kwenye mkutano huo leo.
Wageni hao pamoja na wenyeji wakiwa katika wodi ya wagonjwa Muhimbili leo.
Hivyo makala JICA watembelea hospitali yaTaifa ya Muhimbili
yaani makala yote JICA watembelea hospitali yaTaifa ya Muhimbili Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JICA watembelea hospitali yaTaifa ya Muhimbili mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/jica-watembelea-hospitali-yataifa-ya.html
0 Response to "JICA watembelea hospitali yaTaifa ya Muhimbili"
Post a Comment