title : Wapiga Dili Wamzuia Rais Magufuli Kusafiri Nje ya Nchi
kiungo : Wapiga Dili Wamzuia Rais Magufuli Kusafiri Nje ya Nchi
Wapiga Dili Wamzuia Rais Magufuli Kusafiri Nje ya Nchi
Rais John Magufuli amesema amepata mialiko zaidi ya 60 kwenda nje ya nchi baada ya kuwa Rais lakini ameikataa kwa sababu anataka kuishughulikia Tanzania kwanza.
Ameyasema hayo jana (Jumanne Julai 4) wakati akihutubia wakazi wa Sengerema katika uzinduzi wa mradi wa maji Sengerema.
Rais Magufuli amesema hana haja ya kwenda nje ya nchi kwa sababu bado ana mzigo mkubwa wa kumaliza ufisadi.
“Niende nje kufanya nini wakati ntaenda tu nikishastaafu, nataka nimalize kwanza haya ya hapa ndani,” alisema.
Hivyo makala Wapiga Dili Wamzuia Rais Magufuli Kusafiri Nje ya Nchi
yaani makala yote Wapiga Dili Wamzuia Rais Magufuli Kusafiri Nje ya Nchi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wapiga Dili Wamzuia Rais Magufuli Kusafiri Nje ya Nchi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/wapiga-dili-wamzuia-rais-magufuli.html
0 Response to "Wapiga Dili Wamzuia Rais Magufuli Kusafiri Nje ya Nchi"
Post a Comment