title : WAUZA DAWA ZA KULEVYA KUNYWONGWA MAREKANI
kiungo : WAUZA DAWA ZA KULEVYA KUNYWONGWA MAREKANI
WAUZA DAWA ZA KULEVYA KUNYWONGWA MAREKANI
Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii.
RAIS wa Marekani Donald Trump ameeleza mpango wake wa kupambana na wauzaji wa dawa za kulevya chini humo.
Akihutubia huko Manchester, Trump amesema kuwa dawa za kulevya yanagharimu maisha ya watu wengi kutokana na matumizi ya dawa na wanaosababisha vifo hivyo hupewa adhabu ya muda mfupi.
Amefafanua na tayari Bunge limetenga kiasi cha dola za Marekani bilioni sita kwa ajili ya kupambana na tatizo hilo.
Ameeleza lazima kuwe na umakini na kuelekeza adhabu kali sambamba na ile ya kifo kwa wauzaji wa madawa ya kulevya.
Ifahamike katika kampeni zake za urais Trump alitoa ahadi nzito zikiwemo kujenga ukuta ili kudhibiti wahamiaji haramu, kutengua mpango wa afya wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Obama Barrack na ile ya Marekani kwanza.
Hivyo makala WAUZA DAWA ZA KULEVYA KUNYWONGWA MAREKANI
yaani makala yote WAUZA DAWA ZA KULEVYA KUNYWONGWA MAREKANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAUZA DAWA ZA KULEVYA KUNYWONGWA MAREKANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/wauza-dawa-za-kulevya-kunywongwa.html
0 Response to "WAUZA DAWA ZA KULEVYA KUNYWONGWA MAREKANI"
Post a Comment