Kiongozi wa Korea Kaskazini Amkejeli Rais wa Marekani........Ni Baada ya Kurusha Kombora la Masafa Marefu Linaloweza Kutua Hadi Marekani

Kiongozi wa Korea Kaskazini Amkejeli Rais wa Marekani........Ni Baada ya Kurusha Kombora la Masafa Marefu Linaloweza Kutua Hadi Marekani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kiongozi wa Korea Kaskazini Amkejeli Rais wa Marekani........Ni Baada ya Kurusha Kombora la Masafa Marefu Linaloweza Kutua Hadi Marekani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kiongozi wa Korea Kaskazini Amkejeli Rais wa Marekani........Ni Baada ya Kurusha Kombora la Masafa Marefu Linaloweza Kutua Hadi Marekani
kiungo : Kiongozi wa Korea Kaskazini Amkejeli Rais wa Marekani........Ni Baada ya Kurusha Kombora la Masafa Marefu Linaloweza Kutua Hadi Marekani

soma pia


Kiongozi wa Korea Kaskazini Amkejeli Rais wa Marekani........Ni Baada ya Kurusha Kombora la Masafa Marefu Linaloweza Kutua Hadi Marekani

Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-Un amemkejeli Rais wa Marekani, Donald Trump saa chache baada ya kufyatua kombora zito ambalo linadaiwa kuwa na uwezo wa kufika Alaska Marekani  na sehemu nyingine duniani.

Timu ya ujasusi ya Marekani ilieleza kuwa kombora hilo la Korea Kaskazini lililofyatuliwa wiki hii limeonesha kufanikiwa kwa kiasi kikubwa na kwamba lilienda umbali wa zaidi ya Kilometa 900 kabla halijatua baharini kwenye eneo muhimu la kiuchumi nchini Japan.

Kwa mujibu wa Sky News, Kim Jong-Un ameeleza kuwa kombora hilo lililofyatuliwa Julai 4, siku ya kuadhimisha uhuru wa Marekani, lilikuwa zawadi yake kwa Marekani na kiongozi wake.

“Lilikuwa lenye muonekano wenye mvuto kama mvulana mtanashati,” Sky News inamkariri Kim Jong-Un. “Ilikuwa zawadi nzuri kwa Marekani siku ya maadhimisho ya uhuru wao,” anadaiwa kuongeza.

Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani imeeleza kuwa Rais Trump na timu ya wana usalama inaendelea kuvifanyia usaili wa karibu vitendo vya Korea Kaskazini na kwamba nchi hiyo imefikia ukomo wa uvumilivu wake.

Imeeleza kuwa Marekani itaongeza vikwazo zaidi dhidi ya nchi hiyo wakati ambapo Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likitarajiwa kujadili hatua dhidi ya Korea Kaskazini.

Urusi na China, jana zilitoa tamko la kulaani majaribio ya makombora yanayofanywa na Korea Kaskazini, ambayo ni tishio kwa dunia nzima.

Kombora hilo aina ya Hwasong -14 liliruka umbali wa kilomita 2,802 na kusafiri kwa umbali wa kilomita 933 kwa dakika 39 kabla ya kuanguka baharini.

Korea Kaskazini imesema kuwa ni taifa lililojihami kinyuklia ambalo linamiliki kombora la masafa marefu linaloweza kushambulia eneno lolote duniani


Hivyo makala Kiongozi wa Korea Kaskazini Amkejeli Rais wa Marekani........Ni Baada ya Kurusha Kombora la Masafa Marefu Linaloweza Kutua Hadi Marekani

yaani makala yote Kiongozi wa Korea Kaskazini Amkejeli Rais wa Marekani........Ni Baada ya Kurusha Kombora la Masafa Marefu Linaloweza Kutua Hadi Marekani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kiongozi wa Korea Kaskazini Amkejeli Rais wa Marekani........Ni Baada ya Kurusha Kombora la Masafa Marefu Linaloweza Kutua Hadi Marekani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/kiongozi-wa-korea-kaskazini-amkejeli.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kiongozi wa Korea Kaskazini Amkejeli Rais wa Marekani........Ni Baada ya Kurusha Kombora la Masafa Marefu Linaloweza Kutua Hadi Marekani"

Post a Comment