title : Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
kiungo : Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Mwenye picha katika kitambulisho hapo juu ni Bi. Loveness Herman (69), Mbelgiji mwenye asili ya Tanzania ambaye alifariki huko Liege, Ubelgiji tokea tarehe 18 Mei 2.
Marehemu Loveness Herman kabla ya kuhamia Ubelgiji na kuchukuwa uraia wa nchi hiyo katika miaka ya 1980 alikuwa akiishi Dar es Salaam. Tokea alipohamia Ubelgiji, Marehemu alikuwa akiishi peke yake na hakuwahi kupata mtoto.
Kwa taarifa hii, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kupitia Ubalozi wake wa Brussels inawatafuta ndugu zake ili wape taarifa kamili za msiba huo
Kwa maelezo zaidi piga simu katika namba hii +3226406500 au barua pepe brussels@nje.go.tz.
Hivyo makala Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
yaani makala yote Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/taarifa-kutoka-wizara-ya-mambo-ya-nje.html
0 Response to "Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki"
Post a Comment