title : prof dos santos kuwasilisha mada ya uhifadhi wa misitu na mpango mkakati wa utalii nchini
kiungo : prof dos santos kuwasilisha mada ya uhifadhi wa misitu na mpango mkakati wa utalii nchini
prof dos santos kuwasilisha mada ya uhifadhi wa misitu na mpango mkakati wa utalii nchini
Katika mkutano huo Prof Silayo atawasilisha mada "uhifadhi wa misitu ya hifadhi ya asili na mpango mkakati wa utalii Kesho Ijumaa ya tarehe 28 Julai 2017 saa 05:45 asubuhi na kurushwa moja kwa moja kupitia ukurasa wa facebook wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (http://ift.tt/2vaBynx).
usikose kuungana naye na atajibu maswali yatakayoibuka kutokana na mada atakayoiwakilisha!

Mratibu wa Mradi wa Misitu ya Hifadhi ya Mazingira Asilia Tanzania, Gerald Kamwenda (Kushoto) akijadiliana jambo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Prof Dos Santos Silayo mara baada ya kupokea taarifa za wajumbe wa Mkuno Mkuu wa Mwaka wa Wahariri na Wanahabari Waandamizi ulioandaliwa na Hifadhi za Taifa Tanzania kutembelea Hifadhi ya Misitu Asilia ya Amani Siku ya Jumamosi (Julai 29,2017).

Hivyo makala prof dos santos kuwasilisha mada ya uhifadhi wa misitu na mpango mkakati wa utalii nchini
yaani makala yote prof dos santos kuwasilisha mada ya uhifadhi wa misitu na mpango mkakati wa utalii nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala prof dos santos kuwasilisha mada ya uhifadhi wa misitu na mpango mkakati wa utalii nchini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/prof-dos-santos-kuwasilisha-mada-ya.html
0 Response to "prof dos santos kuwasilisha mada ya uhifadhi wa misitu na mpango mkakati wa utalii nchini"
Post a Comment