MSANII IRENE VEDA AULA UBALOZI WA UTALII KUPITIA BODI YA TAIFA YA UTALII TANZANIA (TTB)

MSANII IRENE VEDA AULA UBALOZI WA UTALII KUPITIA BODI YA TAIFA YA UTALII TANZANIA (TTB) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSANII IRENE VEDA AULA UBALOZI WA UTALII KUPITIA BODI YA TAIFA YA UTALII TANZANIA (TTB), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSANII IRENE VEDA AULA UBALOZI WA UTALII KUPITIA BODI YA TAIFA YA UTALII TANZANIA (TTB)
kiungo : MSANII IRENE VEDA AULA UBALOZI WA UTALII KUPITIA BODI YA TAIFA YA UTALII TANZANIA (TTB)

soma pia


MSANII IRENE VEDA AULA UBALOZI WA UTALII KUPITIA BODI YA TAIFA YA UTALII TANZANIA (TTB)

Mkurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Utalii (TTB) Bi. Devotha Mdachi(kulia) Akimkabidhi mkataba Balozi wa ukarimu 'Goodwill Ambassador' wa TTB Irene Veda mara baada ya kusaini.
Mkurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Utalii (TTB) Bi. Devotha Mdachi(kulia) akimwelekeza Balozi wa ukarimu 'Goodwill Ambassador' wa TTB Irene Veda sehemu za kusaini mkataba wake wa miaka miwili.
Balozi wa ukarimu 'Goodwill Ambassador' wa TTB Irene Veda(kushoto) akiendelea kusaini mkataba wake .
Mkurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Utalii (TTB) Bi. Devotha Mdachi(kulia) akimalizia kumwelezea Balozi wa ukarimu 'Goodwill Ambassador' wa TTB Irene Veda sehemu za mwisho za kusaini katika Mkataba huo.
Balozi wa ukarimu 'Goodwill Ambassador' wa TTB Irene Veda akimalizia kusaini Mkataba wake ili kuanza rasmi kazi za kupeperusha Bendera ya kutangaza Utalii nchini Tanzania.
Mkurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Utalii (TTB) Bi. Devotha Mdachi(kulia) pamoja na Balozi wa ukarimu 'Goodwill Ambassador' wa TTB Irene Veda wakionesha Mikataba yao baada ya kumaliza kusaini.
Kuona kazi ambazo ameanza kuzifanya bofya

Instagram: http://ift.tt/2sJrT35

 Twitter: http://www.twitter.com/TukataliiTz 

Facebook: http://ift.tt/2saEH5j





Hivyo makala MSANII IRENE VEDA AULA UBALOZI WA UTALII KUPITIA BODI YA TAIFA YA UTALII TANZANIA (TTB)

yaani makala yote MSANII IRENE VEDA AULA UBALOZI WA UTALII KUPITIA BODI YA TAIFA YA UTALII TANZANIA (TTB) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSANII IRENE VEDA AULA UBALOZI WA UTALII KUPITIA BODI YA TAIFA YA UTALII TANZANIA (TTB) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/msanii-irene-veda-aula-ubalozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MSANII IRENE VEDA AULA UBALOZI WA UTALII KUPITIA BODI YA TAIFA YA UTALII TANZANIA (TTB)"

Post a Comment