title : Rais wa Zanzibar Dk.Shein aelekea Uingereza kwa ziara maalumu ya wiki mbili leo
kiungo : Rais wa Zanzibar Dk.Shein aelekea Uingereza kwa ziara maalumu ya wiki mbili leo
Rais wa Zanzibar Dk.Shein aelekea Uingereza kwa ziara maalumu ya wiki mbili leo
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud alipokuwa akiondoka chini leo akifuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali alipokuwa akiondoka nchini leo na Ujumbe wake kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili. Picha na IKULU
Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk.Shein aelekea Uingereza kwa ziara maalumu ya wiki mbili leo
yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk.Shein aelekea Uingereza kwa ziara maalumu ya wiki mbili leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk.Shein aelekea Uingereza kwa ziara maalumu ya wiki mbili leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-wa-zanzibar-dkshein-aelekea.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk.Shein aelekea Uingereza kwa ziara maalumu ya wiki mbili leo"
Post a Comment