title : MAKAMU WA RAIS AWATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA KARATU HOSPITALI
kiungo : MAKAMU WA RAIS AWATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA KARATU HOSPITALI
MAKAMU WA RAIS AWATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA KARATU HOSPITALI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Godfrey Tarimo mwenye umri wa miaka 11 ambaye ni mmoja wa majeruhi waliolazwa kwenye hospitali mkoa wa wa Arusha ya Mt. Meru, Godfrey ni mmoja ya waliojeruhiwa katika ajali waliopata wanafunzi wa Lucky Vincent (Picha na Ofisi ya Maku wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Doreen Mshana mwenye umri wa miaka 13ambaye ni mmoja wa majeruhi waliolazwa kwenye hospitali mkoa wa wa Arusha ya Mt. Meru, Doreen ni mmoja ya waliojeruhiwa katika ajali waliopata wanafunzi wa Lucky Vincent (Picha na Ofisi ya Maku wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sadia Isamel Awadhi mwenye umri wa miaka 11 ambaye ni mmoja wa majeruhi waliolazwa kwenye hospitali mkoa wa wa Arusha ya Mt. Meru, Sadia ni mmoja ya waliojeruhiwa katika ajali waliopata wanafunzi wa Lucky Vincent (Picha na Ofisi ya Maku wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AWATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA KARATU HOSPITALI
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AWATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA KARATU HOSPITALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AWATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA KARATU HOSPITALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/makamu-wa-rais-awatembelea-majeruhi-wa.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AWATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA KARATU HOSPITALI"
Post a Comment