title : 7 of 9 Print all In new window MASHEHA WAPYA WAAPISHWA ZANZIBAR
kiungo : 7 of 9 Print all In new window MASHEHA WAPYA WAAPISHWA ZANZIBAR
7 of 9 Print all In new window MASHEHA WAPYA WAAPISHWA ZANZIBAR
Baadhi ya Masheha walioteuliwa kushika nafasi hizo katika Wilaya mbalimbali za Mjini Magharibi wakiwa wanasubiri kuapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Unguja.
Baadhi ya Masheha walioteuliwa kushika nafasi hizo katika Wilaya mbalimbali za Mjini Magharibi wakiwa wanasubiri kuapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud kushoto akimuapisha ndugu Elvis Victor Luanda kuwa sheha wa shehia ya Binti Amrani katika hafla ya kuwaapisha masheha iliofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud kushoto akimuapisha ndugu Ali Silima Shauri kuwa sheha wa shehia ya Mkele katika hafla ya kuwaapisha masheha iliofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Unguja. PICHA NA YUSSUF SIAMI/MAELEZO ZANZIBAR
Hivyo makala 7 of 9 Print all In new window MASHEHA WAPYA WAAPISHWA ZANZIBAR
yaani makala yote 7 of 9 Print all In new window MASHEHA WAPYA WAAPISHWA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala 7 of 9 Print all In new window MASHEHA WAPYA WAAPISHWA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/7-of-9-print-all-in-new-window-masheha.html
0 Response to "7 of 9 Print all In new window MASHEHA WAPYA WAAPISHWA ZANZIBAR"
Post a Comment