RAIS DKT MAGUFULI KUFANYA ZIARA YA SIKU TATU YA KIKAZI MKOANI KIGOMA.

RAIS DKT MAGUFULI KUFANYA ZIARA YA SIKU TATU YA KIKAZI MKOANI KIGOMA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI KUFANYA ZIARA YA SIKU TATU YA KIKAZI MKOANI KIGOMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI KUFANYA ZIARA YA SIKU TATU YA KIKAZI MKOANI KIGOMA.
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI KUFANYA ZIARA YA SIKU TATU YA KIKAZI MKOANI KIGOMA.

soma pia


RAIS DKT MAGUFULI KUFANYA ZIARA YA SIKU TATU YA KIKAZI MKOANI KIGOMA.

Na Editha Karlo wa blog ya jamii,Kigoma

RAIS Dkt John Pombe Magufuli anatarajia kuanza ziara ya siku tatu ya kikazi Mkoani Kigoma ambapo pamoja na mambo mengine atazindua barabara zenye kiwango cha lami na mradi wa maji.

Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Emanuel Maganga alisema kuwa Rais atawasili mkoani Kigoma kupitia Wilaya ya Kakonko tarehe July 21 akitokea Mkoani Kagera ambapo atafanya uzinduzi wa barabara iliyojengwa kwa kiwango cha lami kutokea Nyakanazi hadi Kibondo yenye kilometa 50.

Mkuu wa Mkoa alisema pia siku hiyo Rais atafanya mkutano wa hadhara na wananchi katika Wilaya ya Kakonko ili kusikiliza kero zao mbali mbali,pia Rais ataelekea Wilayani Kasulu ambapo pia atazindua barabara kidahwe mpaka kasulu iliyojengwa kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63.

Maganga alisema July 22 Rais ataweka jiwe la msingi mradi wa maji uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji na kisha atafanya mkutano wa hadhara na wananchi katika uwanja wa Lake Tanganyika.

Na July 23 Rais ataelekea Wilayani Uvinza kwaajili ya kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji uliopo katika Kata ya Nguruka eneo la amani na baadae mkutano wa hadhara na wananchi.

Maganga amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais kwani hii ni ziara yake ya kwanza tokea uchaguzi Mkuu ufanyike.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia mstaafu Emanuel Maganga akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya ziara ya Rais Dkt John Pombe Magufuli Mkoani Kigoma.


Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI KUFANYA ZIARA YA SIKU TATU YA KIKAZI MKOANI KIGOMA.

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI KUFANYA ZIARA YA SIKU TATU YA KIKAZI MKOANI KIGOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI KUFANYA ZIARA YA SIKU TATU YA KIKAZI MKOANI KIGOMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-dkt-magufuli-kufanya-ziara-ya-siku.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI KUFANYA ZIARA YA SIKU TATU YA KIKAZI MKOANI KIGOMA."

Post a Comment