Burudani : BASATA Yanogesha Raha za Pwani Nchini Marekani

Burudani : BASATA Yanogesha Raha za Pwani Nchini Marekani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Burudani : BASATA Yanogesha Raha za Pwani Nchini Marekani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Burudani : BASATA Yanogesha Raha za Pwani Nchini Marekani
kiungo : Burudani : BASATA Yanogesha Raha za Pwani Nchini Marekani

soma pia


Burudani : BASATA Yanogesha Raha za Pwani Nchini Marekani



BASATA YANOGESHA RAHA ZA PWANI NCHNI MAREKANI:

Mwenyekiti Mtendaji wa Baraza linalo simamia shughuli za utamaduni na Sanaa nchini Tanzania (BASATA) - Bwana GODFREY LEBEJO MNGEREZA, akifuatana na Msanii maarufu wa nyimbo na ngoma ya Muduara- Bwana ALI RAMADHAN ALI, al-maarufu kwa jina la MR. AT, wamewasili kwenye Uwanja mkuu wa ndege wa Dulles Internatinal Airport (IAD) mjini Washington, DC, jana Alhamisi, 20 Julai, kwa ajili ya kushiriki katika jopo au Kongamano la RAHA ZA PWANI, lenye lengo la ku utangaza na kudumisha Utamaduni wa Mswahili na Lugha yake adhim.

Tamasha hilo ambalo hutayarishwa na kampuni ya Swahili Media Network, litafanyika siku ya Jumamosi, tarehe 22 Julai, kwenye ukumbi wa the Hampton Inn, 9670 Baltimore Avenue, College Park, MD, kuanzia saa 10:00 jioni hadi Saa 5: 00 Usiku.

Wageni wengi kutoka maeneo ya DMV wamekaribishwa, ili kijifunza, kusherehekea na kufurahia vionjo vya Pwani, Mitindo ya Mavazi, Sanaa za Kiswahili na Dansi Laivu.

Hii ni Mara yao ya kwanza kwa wajumbe hawa wa Bongo kuingia Marekani.

Walipokelewa kwa furaha na wenyeji wao pamoja na Wadau wenye kufuatilia na kuupenda Utamaduni wa PWANI na Sanaa zake mbali mbali.

Kabla ya kurejea Tanzania, wajumbe hawa wanatatajia kuitembelea miji mingine kadhaa ya Marekani pamoja na taasisi zinazo husika na Sanaa na Utamaduni.


Hivyo makala Burudani : BASATA Yanogesha Raha za Pwani Nchini Marekani

yaani makala yote Burudani : BASATA Yanogesha Raha za Pwani Nchini Marekani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Burudani : BASATA Yanogesha Raha za Pwani Nchini Marekani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/burudani-basata-yanogesha-raha-za-pwani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Burudani : BASATA Yanogesha Raha za Pwani Nchini Marekani"

Post a Comment