BREAKING NEWZZZZ: Wahalifu wengine wawili wauawa tena IKWIRIRI, mmoja atambulika.

BREAKING NEWZZZZ: Wahalifu wengine wawili wauawa tena IKWIRIRI, mmoja atambulika. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWZZZZ: Wahalifu wengine wawili wauawa tena IKWIRIRI, mmoja atambulika., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWZZZZ: Wahalifu wengine wawili wauawa tena IKWIRIRI, mmoja atambulika.
kiungo : BREAKING NEWZZZZ: Wahalifu wengine wawili wauawa tena IKWIRIRI, mmoja atambulika.

soma pia


BREAKING NEWZZZZ: Wahalifu wengine wawili wauawa tena IKWIRIRI, mmoja atambulika.

Mwambawahabari

Na
Tamimu Adam - Jeshi la Polisi

Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kuwaua watu
wawili  wanaosadikiwa kuwa  ni miongoni mwa wahalifu wanaoendesha mauaji
katika  Kanda maalumu ya  kipolisi Rufiji ambapo  mmoja  kati ya watu hao  ametambulika  kwa jina la Abdallah Ally Ngande Makeo ambaye
alikuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa muda mrefu kutokana na kushiriki  kwake katika matukio ya  mauaji maeneo ya Ikwiriri, Kibiti pamoja na
uvamizi wa kituo cha Polisi Ikwiriri.



Akielezea tukio hilo, 
Mkuu wa Operesheni Maalum  za
Jeshi la Polisi,  Naibu Kamishna wa
Polisi Liberatus Sabas alisema kuwa tukio hilo lilitokea mnamo tarehe 19,
julai, 2017 saa mbili usiku katika eneo la 
Utende kata ya Ikwiriri,  wilaya Rufiji
kanda maalum  ya Polisi  Rufiji.



 “Askari  Polisi  wa doria 
waliwatilia mashaka watu wanaokadiliwa kuwa watano ambapo walipoanza
kuwafutilia ndipo walianza kukimbia huku wakiwashambulia  askari kwa risasi. Askari nao kwa ujasiri walijibu
  mashambulizi na kufanikiwa  kuwajeruhi 
wahalifu wawili miongonio mwao ambao baadaye  walifariki 
wakipelekwa Hospitali  ya Taifa ya
muhimbili kutokana na kuvuja damu iliyosababisishwa na majeraha ya risasi
waliyoyapata” alisema Sabas.

Aliongeza kuwa  katika eneo 
hilo la tukio ilipatikana silaha moja aina ya rifle 375 ambayo  ilikutwa imekatwa kitako na mtutu ikiwa na
risasi mbili (2).  Aidha, Miili ya
marehemu wote wamehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya
Taifa ya muhimbili.

 Kamanda sabas
ameendelea kutoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi
katika kutoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa wahalifu wengine waliosalia na
kwamba  opereheni hiyo ya kuwasaka
wahalifu katika Kanda hiyo ya kipolisi Rufiji 
ni endelevu  na hakuna atakayebaki.



Hivyo makala BREAKING NEWZZZZ: Wahalifu wengine wawili wauawa tena IKWIRIRI, mmoja atambulika.

yaani makala yote BREAKING NEWZZZZ: Wahalifu wengine wawili wauawa tena IKWIRIRI, mmoja atambulika. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZZZ: Wahalifu wengine wawili wauawa tena IKWIRIRI, mmoja atambulika. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/breaking-newzzzz-wahalifu-wengine.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NEWZZZZ: Wahalifu wengine wawili wauawa tena IKWIRIRI, mmoja atambulika."

Post a Comment