title : RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR, AWAHUTUBIA WANANCHI WA TEGETA KWA NDEVU
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR, AWAHUTUBIA WANANCHI WA TEGETA KWA NDEVU
RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR, AWAHUTUBIA WANANCHI WA TEGETA KWA NDEVU
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na wananchi wa eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es salaam, baada ya wananchi hao kusimamisha msafara wake alipokuwa safarini akirejea jijini Dar es salaam kutokea Mkoani Dodoma, Julai 27, 2017.
Sehemu ya wananchi wa eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es salaam, wakimsikiliza Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliposimama kuzungumza nao, alipokuwa safarini akirejea jijini Dar es salaam kutokea Mkoani Dodoma, Julai 27, 2017.
Sehemu ya wananchi wa eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es salaam, wakimshangilia Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliposimama kuzungumza nao, alipokuwa safarini akirejea jijini Dar es salaam kutokea Mkoani Dodoma, Julai 27, 2017. PICHA NA IKULU.
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR, AWAHUTUBIA WANANCHI WA TEGETA KWA NDEVU
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR, AWAHUTUBIA WANANCHI WA TEGETA KWA NDEVU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR, AWAHUTUBIA WANANCHI WA TEGETA KWA NDEVU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-dkt-magufuli-awasili-jijini-dar.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR, AWAHUTUBIA WANANCHI WA TEGETA KWA NDEVU"
Post a Comment