title : MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE RIYAMA ALLY ANOGESHA BANDA LA DSTV KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE RIYAMA ALLY ANOGESHA BANDA LA DSTV KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE RIYAMA ALLY ANOGESHA BANDA LA DSTV KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja Masoko wa Multichoice-Tanzania, Alpha Mria na Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania Shumbana Walwa kushoto na muigizaji wa filamu za kibongo Riyama Ally wakipozi kwa picha nyuma ya bango la picha ya muigizaji huyo iliyopo katika banda la Multchoice katika Maonyesho ya Biashara ya 41 yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje (TANTRADE).

Shumbana Walwa kushoto wakipozi kwa picha na muigizaji wa filamu za kibongo Riyama Ally katika banda la kampuni hiyo kwenye maonyesho ya Biashara ya yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wananchi wakipata huduma kutoka kwa wafanyakazi wa Multchoice katika banda hilo.
Hivyo makala MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE RIYAMA ALLY ANOGESHA BANDA LA DSTV KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE RIYAMA ALLY ANOGESHA BANDA LA DSTV KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE RIYAMA ALLY ANOGESHA BANDA LA DSTV KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/muigizaji-wa-bongo-movie-riyama-ally.html
0 Response to "MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE RIYAMA ALLY ANOGESHA BANDA LA DSTV KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment