KAMPENI YA TBS YAWAFIKIA WANANCHI WA TARIME NA RORYA

KAMPENI YA TBS YAWAFIKIA WANANCHI WA TARIME NA RORYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPENI YA TBS YAWAFIKIA WANANCHI WA TARIME NA RORYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPENI YA TBS YAWAFIKIA WANANCHI WA TARIME NA RORYA
kiungo : KAMPENI YA TBS YAWAFIKIA WANANCHI WA TARIME NA RORYA

soma pia


KAMPENI YA TBS YAWAFIKIA WANANCHI WA TARIME NA RORYA

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea na Kampeni yake katika Wilaya ya Tarime na Rorya ya kutoa Elimu kwa umma juu ya umuhimu wa kununua bidhaa zilizothibitishwa ubora wake na TBS na jinsi gani wajasiriamali wanaweza kupata Leseni ya TBS bure bila gharama yoyote.

Kampeni hiyo ya Elimu kwa umma imefanyika Maeneo ya Soko jipya la REBU,Stendi ya Tarime Mjini,Mnada wa Mtana na maeneo mengine ya Halmashauri ya Mji na Wilaya.

wananchi walijitokeza kupata elimu sambamba na ufahamu wa masuala mbalimbali yahusuyo Ubora wa Bidhaa.Kwa upande wake Afisa Udhibiti ubora, Mhandisi Paul Ndege amezidi kuwakumbusha Wananchi wote kuwa vita ya bidhaa hafifu sio ya TBS pekee bali ya kwetu sote, Hivyo,wasisite kutoa taarifa kupitia mawasiliano waliyopewa pale wanapogundua uwepo wa bidhaa hafifu katika soko lao na kuhakikisha wananunua bidhaa zilizothibitishwa na TBS.

Vilevile Shirika lilipata fursa ya kutoa semina kwa wajasiriamali wanaojihusisha na bidhaa mbalimbali kama nafaka,sabuni, maziwa,asali na unga lishe,juu ya utaratibu wa kupata leseni ya kutumia alama ya ubora ya TBS na kuwa huduma hiyo inatolewa bure kwa wajasiriamali wadogo.

Wajasiriamali wengi walionyeshwa kufurahishwa na elimu waliyoipata na kushukuru TBS kwa kuja kutoa elimu hiyo ambayo itawapa matokeo yenye tija kwenye shughuli zao za uzalishaji.Semina hii ilifanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

Kampeni hii inaendelea Wilaya ya Nyamagana .

 TBS ikiendelea na kampeni ya elimu kwa umma katika shule ya msingi Nyamisangura na Shule ya sekondari Sirari Wilayani Tarime.
 Afisa Udhibiti Ubora,Mhandisi Paul Ndege akiwaelekeza wajasiriamali  utaratibu  wa kupata leseni ya ubora ya TBS bila gharama yoyote,katika semina iliyofanyika ukumbi wa Halmashauri Wilayani Tarime.
 Pichani ni Mhandisi Paul Ndege, Afisa Uthibiti Ubora akitoa somo kwa mjasiliamali kuhusu umuhimu wa kuuza bidhaa zilizothibitishwa na TBS
Mhandisi Paul Ndege akiendelea na semina ya Elimu kwa Umma juu ya kutambua Bidhaa hafifu Mjini Mara.


Hivyo makala KAMPENI YA TBS YAWAFIKIA WANANCHI WA TARIME NA RORYA

yaani makala yote KAMPENI YA TBS YAWAFIKIA WANANCHI WA TARIME NA RORYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPENI YA TBS YAWAFIKIA WANANCHI WA TARIME NA RORYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/kampeni-ya-tbs-yawafikia-wananchi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPENI YA TBS YAWAFIKIA WANANCHI WA TARIME NA RORYA"

Post a Comment