WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI ARUSHA

WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI ARUSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI ARUSHA
kiungo : WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI ARUSHA

soma pia


WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI ARUSHA




 
WAZIRI wa Mambo ya ndani ya Nchi,Kangi Lugola
 
Na. Vero Ignatus, Arusha

WAZIRI wa Mambo ya ndani ya Nchi,Kangi Lugola amelitaka Jeshi la Polisi nchini kushirikiana na mamlaka ya ya Mawasiliano nchini TCRA,ili kuweza kuwabaini wale wote wanaovunja Amani ya nchi,kwa kutumia njia ya Mtandao.

Ameyasema hayo Jijini Arusha Wakati akiwa katika ziara yake ya siku nane,lengo likiwa ni kufanya mikutano ya hadhara na kusikiliza maoni ya wananchi juu ya Usalama anaousimamia.Lugola amesema kuwa kwa sasa nchi ina Amani ya Kutosha na hivyo asitokee mtu wa kuvuruga Amani hiyo.

Aidha waziri Lugola ametoa wito kwa watanzania kuendelea kuliamini Jeshi la Polisi ,katika ufanisi wa kazi zao za kulinda raia na mali zake.Amesema mitandao ya kijamii inaweza kutumika kuleta maendeleo badala ya kuchochea Uvunjifu wa Amani.

Waziri Lugola yupo mmkoani Arusha ambapo anatarajiwa kufanya ziara yake ya kikazi ya kutembelea Wilaya zote Saba za Mkoa wa Arusha.



Hivyo makala WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI ARUSHA

yaani makala yote WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/waziri-lugola-aanza-ziara-ya-kikazi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI ARUSHA"

Post a Comment