title : MDAU ABUNI MCHEZO WA KARATA WA ALBASTINI MTANDAONI
kiungo : MDAU ABUNI MCHEZO WA KARATA WA ALBASTINI MTANDAONI
MDAU ABUNI MCHEZO WA KARATA WA ALBASTINI MTANDAONI
Mtanzania Augustino Mponzi anayeishi jijini Dallas, Texas, Marekani, amebuni mchezo marufu wa karata uitwao ALBASTINI kwa njia ya mtandao. Mchezo huu unaweza kuchezwa kwa kutumia simu ya mkononi pamoja, tablet pamoja na iPad, na iPad Touch.
Hivi sasa Tino Bw. Mponzi ameandaa mashindano ya ALBASTINI ambayo anasema watu wote duniani kuliko na internet wanaweza kucheza kwa kutumia simu za mkononi. Tayari ameshatengeneza Application zinazomwezesha mtu mwenye simu za Android pamoja na tablet zenye kutumia Google play hali kadhalika wenye kutumia iPhone, iPad na iPad Touch wanaweza kushiriki kwani App ya iOS inawezesha mchezo huo kupakuliwa na kuwekwa (install) kwenye vifaa hivyo.
“Kuingia kwenye mashindano ni bure na mshidndi atapata Apple iPad”, anasema Bw. Mponzi, akiongezea kwamba baada ya kupakua (install) application hiyo mdau utapata maelekezo yote ya namna ya kucheza. Link za mchezo huo ni hizi hapa chini. KAZI KWAKO mpenzi wa ALBASTINI>
*iPhone/iPad Link >> http://ift.tt/XcQxRwapp/albastini-card-game/id1115692558?mt=8
Hivyo makala MDAU ABUNI MCHEZO WA KARATA WA ALBASTINI MTANDAONI
yaani makala yote MDAU ABUNI MCHEZO WA KARATA WA ALBASTINI MTANDAONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MDAU ABUNI MCHEZO WA KARATA WA ALBASTINI MTANDAONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mdau-abuni-mchezo-wa-karata-wa.html
0 Response to "MDAU ABUNI MCHEZO WA KARATA WA ALBASTINI MTANDAONI"
Post a Comment