MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO

MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO
kiungo : MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO

soma pia


MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza na madereva wanaofanya safari zao kati ya Masiwani,Magomeni,Majengo na Raskaone Jijini Tanga   waliogoma kutoa huduma kwa siku nzima wakiishinikiza Halmashauri kuikarabati barabara wanazozitumia kutokana na ubovu ambapo Mbunge huyo aliwataka kuendelea shughuli zao wakati kilio chao kikifanyiwa kazi
Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani (RTO)Nassoro Sisiwaya akizungumza kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku
 Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi akizungumza na waansdishi wa habari kuhusu namna halmashauri ilivyoweza kulitatua tatizo hilo mara moja kwa kupitisha greda kuichonga
Kaimu DTO wa wilaya ya Tanga,Imani Raphael akizungumza na  madereva hao ambapo aliwataka kuendelea na shughuli zao wakati suala lao likishughuliwa na mamlaka husika.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO

yaani makala yote MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mbunge-mussa-aingilia-kati-mgomo-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO"

Post a Comment