UKAGUZI WA MAGARI, LESENI NA OPARESHENI YA KUKAMATA MAKOSA YA USALAMA BARABARANI JIJINI MBEYA.

UKAGUZI WA MAGARI, LESENI NA OPARESHENI YA KUKAMATA MAKOSA YA USALAMA BARABARANI JIJINI MBEYA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UKAGUZI WA MAGARI, LESENI NA OPARESHENI YA KUKAMATA MAKOSA YA USALAMA BARABARANI JIJINI MBEYA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UKAGUZI WA MAGARI, LESENI NA OPARESHENI YA KUKAMATA MAKOSA YA USALAMA BARABARANI JIJINI MBEYA.
kiungo : UKAGUZI WA MAGARI, LESENI NA OPARESHENI YA KUKAMATA MAKOSA YA USALAMA BARABARANI JIJINI MBEYA.

soma pia


UKAGUZI WA MAGARI, LESENI NA OPARESHENI YA KUKAMATA MAKOSA YA USALAMA BARABARANI JIJINI MBEYA.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu na ajali za barabarani ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa usalama hali inayopelekea kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio makubwa ya uhalifu pamoja na ajali za barabarani. 

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea na Oparesheni ya kukagua magari pamoja na kukamata makosa mbalimbali ya ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani. Katika Oparesheni iliyofanyika mnamo tarehe 14.07.2018 kuanzia majira ya saa 05:00 alfajiri katika Stendi Kuu ya Mabasi jumla ya Mabasi 43 yaendayo Mikoa mbalimbali yamekaguliwa kati ya hayo 38 yaliruhusiwa kuendelea na safari wakati Mabasi 05 yaligundulika kuwa na hitilafu hivyo hayakuruhusiwa kuendelea na safari hadi yatakapo tengenezwa. 

Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limefanya Oparesheni ya kushtukiza katika maeneo ya Kabwe, Mwanjelwa, Isanga, Soweto, Uyole na Iyunga na kufanikiwa kukamata magari 45 kati ya hayo 29 yamekutwa na makosa mbalimbali yakiwemo ya ubovu, kuvuja mafuta, kuisha kwa matairi na baadhi ya gari za abiria @ daladala kuchakaa kwa viti vya kukalia abiria.

Kufuatia Oparesheni hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya ULRICH MATEI amewataka madereva kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kuepuka ajali za mara kwa mara. 

Aidha Kamanda MATEI amewataka wamiliki wa vyombo vya moto hasa magari kujenga utaratibu wa kuyafanyia matengenezo ya mara kwa mara magari yao ili yaweze kutumika kikamilifu katika kazi ya kubeba na kusafirisha abiria vinginevyo Jeshi la Polisi litawachukulia hatua za kisheria wamiliki wote ambao magari yao yatabainika kuwa mabovu hali inayoweza kupelekea ajali.

Imesainiwa na: 
[ULRICH O. MATEI - SACP] 
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA



Hivyo makala UKAGUZI WA MAGARI, LESENI NA OPARESHENI YA KUKAMATA MAKOSA YA USALAMA BARABARANI JIJINI MBEYA.

yaani makala yote UKAGUZI WA MAGARI, LESENI NA OPARESHENI YA KUKAMATA MAKOSA YA USALAMA BARABARANI JIJINI MBEYA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UKAGUZI WA MAGARI, LESENI NA OPARESHENI YA KUKAMATA MAKOSA YA USALAMA BARABARANI JIJINI MBEYA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/ukaguzi-wa-magari-leseni-na-oparesheni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UKAGUZI WA MAGARI, LESENI NA OPARESHENI YA KUKAMATA MAKOSA YA USALAMA BARABARANI JIJINI MBEYA."

Post a Comment