title : MAKAMU WA RAIS AREJEA NCHINI AKITOKEA NCHINI ETHIOPIA
kiungo : MAKAMU WA RAIS AREJEA NCHINI AKITOKEA NCHINI ETHIOPIA
MAKAMU WA RAIS AREJEA NCHINI AKITOKEA NCHINI ETHIOPIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amerejea nchini akitokea jijini Addis Ababa, Ethiopia ambapo alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU). Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Makamu wa Rais wa akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bw. Felix Lyaviva . Katika Ujumbe wa Mkutano huo Makamu wa Rais pia aliambatana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AREJEA NCHINI AKITOKEA NCHINI ETHIOPIA
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AREJEA NCHINI AKITOKEA NCHINI ETHIOPIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AREJEA NCHINI AKITOKEA NCHINI ETHIOPIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/makamu-wa-rais-arejea-nchini-akitokea.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AREJEA NCHINI AKITOKEA NCHINI ETHIOPIA"
Post a Comment