title : TCRA Yatowa Elimu kwa Waandishi wa Habari Pemba.
kiungo : TCRA Yatowa Elimu kwa Waandishi wa Habari Pemba.
TCRA Yatowa Elimu kwa Waandishi wa Habari Pemba.
Kaimu Naibu Mkurugenzi wa maendeleo ya ‘TEHAMA’ kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ Mhandishi Nehemia Mwenisongole akielezea namna ambavyo, mteja wa kampuni moja ya simu anavyoweza kuhama kutoka kampuni hiyo na kuhamia nyengine kwa namba yake ile ile ya simu, wakati akizungumza na waandishi wa habari kisiwani Pemba
NAIBUMkurugenzi kuhusu masuala ya huduma na bidhaa za mawasiliano, kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ Thadayo Ringo, akielezea hatua za kufanya kabla ya mteja kuhama mtandao mmoja kwenda mwengine, akitumia namba yake ile ile ya mtandao anaohama, mkutano huo ulifanyika kisiwani Pemba, hivi karibuni
MWANDISHI wa sauti ya Istiqama Salum Ali Msellem, akiwaongoza waandishi wa habari wenzake kuomba dua maalum kwa Muumba, ili wazo lao la kuanzisha mfuko wa wanahabari wa kujiendeleza kielimu lifanikiwe, kikao hicho kilifanyika PPC mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Hivyo makala TCRA Yatowa Elimu kwa Waandishi wa Habari Pemba.
yaani makala yote TCRA Yatowa Elimu kwa Waandishi wa Habari Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TCRA Yatowa Elimu kwa Waandishi wa Habari Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/tcra-yatowa-elimu-kwa-waandishi-wa.html
0 Response to "TCRA Yatowa Elimu kwa Waandishi wa Habari Pemba."
Post a Comment