MAJALIWA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA

MAJALIWA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA
kiungo : MAJALIWA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA

soma pia


MAJALIWA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa skafu na vija wa CCM, Green Guard bade ya kuwasili kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela kuanza ziara wilayani humo leo Julai 29, 2017. Kushoto kwake ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu na kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Mbeya
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Mbeya baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Mbeya 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi "Sugu" baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Mbeya
Baadhi ya watumishi wa umma wa wilaya ya Kyela wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza naokwenye ukumbi wa Halmahauri ya wilaya ya Kyela akiwa ktik ziara ya mkoa wa Mbeya leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa umma wa  wilaya ya Kyela  baada ya kupokea taarifa ya mkoa huo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla (kushoto) kwenye ukumbi wa Halmashuri ya Wilaya ya Kyela leo Julai 29, 2017. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu


Hivyo makala MAJALIWA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA

yaani makala yote MAJALIWA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/majaliwa-aanza-ziara-ya-mkoa-wa-mbeya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA"

Post a Comment