title : DKT. SHEIN KATIKA HAFLA YA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA UWT ZANZIBAR.
kiungo : DKT. SHEIN KATIKA HAFLA YA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA UWT ZANZIBAR.
DKT. SHEIN KATIKA HAFLA YA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA UWT ZANZIBAR.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali na Wafanyabishara waliohudhuria katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akipokea zawadi maalum kutoka kwa Dkt.Maua Abeid Daftari Mwenyekiti wa kamati ya kuhamasisha uchangiaji wa mfuko wa maendeleo ya UWT katika hafla ya Chakula cha hisani cha kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala DKT. SHEIN KATIKA HAFLA YA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA UWT ZANZIBAR.
yaani makala yote DKT. SHEIN KATIKA HAFLA YA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA UWT ZANZIBAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. SHEIN KATIKA HAFLA YA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA UWT ZANZIBAR. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/dkt-shein-katika-hafla-ya-kuchangia.html
0 Response to "DKT. SHEIN KATIKA HAFLA YA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA UWT ZANZIBAR."
Post a Comment