title : MFUKO WA MAENDELEO WA JUMUIYA YA UWT ZANZIBAR WACHANGIWA
kiungo : MFUKO WA MAENDELEO WA JUMUIYA YA UWT ZANZIBAR WACHANGIWA
MFUKO WA MAENDELEO WA JUMUIYA YA UWT ZANZIBAR WACHANGIWA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein iliyochorwa ikipigwa mnada kwa Viongozi na Wafanyabiashara mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 26/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitia saini Picha yake iliyochorwa ambayo ilipigwa mnada kwa Viongozi na Wafanyabiashara mbali mbali na kununuliwa kwa shingi za Kitanzania Milliomi tatu,ambayo Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Mecco Bw.Abdukadir Mohamed Bujet (kulia) ameinunua picha hiyo katika hafla ya Kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akikabidhi Picha ya Mji wa Zanzibar Kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ikiwa ni miongoni mwa Picha mbali mbali zilizopigwa mnada kufanikisha kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar hafla iliyofanyika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,(kushoto) Mama Asha Suleiman Mke Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Hivyo makala MFUKO WA MAENDELEO WA JUMUIYA YA UWT ZANZIBAR WACHANGIWA
yaani makala yote MFUKO WA MAENDELEO WA JUMUIYA YA UWT ZANZIBAR WACHANGIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MFUKO WA MAENDELEO WA JUMUIYA YA UWT ZANZIBAR WACHANGIWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mfuko-wa-maendeleo-wa-jumuiya-ya-uwt.html
0 Response to "MFUKO WA MAENDELEO WA JUMUIYA YA UWT ZANZIBAR WACHANGIWA"
Post a Comment