NCHI ZA SADC ZIMEAHIDI KUSHIKAMANA NA SAHARAWI

NCHI ZA SADC ZIMEAHIDI KUSHIKAMANA NA SAHARAWI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NCHI ZA SADC ZIMEAHIDI KUSHIKAMANA NA SAHARAWI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NCHI ZA SADC ZIMEAHIDI KUSHIKAMANA NA SAHARAWI
kiungo : NCHI ZA SADC ZIMEAHIDI KUSHIKAMANA NA SAHARAWI

soma pia


NCHI ZA SADC ZIMEAHIDI KUSHIKAMANA NA SAHARAWI

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akiwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika Pretoria Afrika Kusini tarehe 25 na 26 Machi 2019. Mkutano huo ni maalum kwa ajili ya kuonesha mshikamano na nchi ya Saharawi, ambapo washiriki walielezea dhamira yao ya kusimama pamoja na Saharawi. 
Dkt. Damas Ndumbaro akisalimiana na Rais wa Saharawi, Mhe. Brahim Ghali katika ukumbi wa mikutano jijini Pretoria. 
Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC na wawakilishi wa Wakuu Nchi na Marafiki wa Sharawi walioshiriki mkutano huo wakiwa katika picha ya pamoja. 


Hivyo makala NCHI ZA SADC ZIMEAHIDI KUSHIKAMANA NA SAHARAWI

yaani makala yote NCHI ZA SADC ZIMEAHIDI KUSHIKAMANA NA SAHARAWI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NCHI ZA SADC ZIMEAHIDI KUSHIKAMANA NA SAHARAWI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/nchi-za-sadc-zimeahidi-kushikamana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NCHI ZA SADC ZIMEAHIDI KUSHIKAMANA NA SAHARAWI"

Post a Comment