title : LAPF YAONGEZA WATEJA WA PENSHENI KATIKA MAONESHO YA SABASABA
kiungo : LAPF YAONGEZA WATEJA WA PENSHENI KATIKA MAONESHO YA SABASABA
LAPF YAONGEZA WATEJA WA PENSHENI KATIKA MAONESHO YA SABASABA
AfisaMatekelezo wa LAPF Agnes William akizungumza na mmoja wa wateja waliotembelea banda la mfuko huo wa hifadhi ya jamii katika maonesho ya kimataifa ya Sabsaba
Mhasibu wa LAPF, Betty Mlewa akiwasikiliza wateja waliotembelea banda la mfuko huo wa hifadhi ya Jamii katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba jijini Dar esSalaam
Afisa Mfumo Robert Daniel na Afisa Matekelezo ,John Mwita wakiwaelekeza wateja jinsi ya kujaza fomu ya kujiunga na mfuko wa Pensheni wa LAPF katika maonesho ya 41 ya Biashara Sabasaba jijini Dar es Salaam
Afisa Ugavi wa LAPF ,Charles Makyao akitoa maelezo kwa mteja alipotembelea banda la mfuko huo wa hifadhi ya Jamii katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba jijini Dar esSalaam
Wateja waliotembelea banda la mfuko huo wa Pensheni wa LAPF katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba jijini Dar esSalaam wakipatiwa huduma
Wateja waliotembelea banda la mfuko huo wa Pensheni wa LAPF katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba jijini Dar esSalaam wakipatiwa huduma
Hivyo makala LAPF YAONGEZA WATEJA WA PENSHENI KATIKA MAONESHO YA SABASABA
yaani makala yote LAPF YAONGEZA WATEJA WA PENSHENI KATIKA MAONESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala LAPF YAONGEZA WATEJA WA PENSHENI KATIKA MAONESHO YA SABASABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/lapf-yaongeza-wateja-wa-pensheni-katika.html
0 Response to "LAPF YAONGEZA WATEJA WA PENSHENI KATIKA MAONESHO YA SABASABA"
Post a Comment