Kumbukumbu

Kumbukumbu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kumbukumbu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kumbukumbu
kiungo : Kumbukumbu

soma pia


Kumbukumbu


Marehemu Mohamed Jumanne Mtaturu Mkonongo
Kuzaliwa 11/03/1973 - Kufariki 21/07/2016


Zimepita saa, siku, miezi na hatimaye leo mwaka mmoja umetimia tangu ututoke ghafla kunako Alhamisi, tarehe 21 Julai  2016.
Tunakukumbuka kwa upendo, ucheshi, ukarimu na moyo wako wa kusaidia wahitaji. Tumejifunza mengi kutokana na maisha yako na tutaendelea kukuenzi kwa yale mema na mazuri uliyotenda hapa duniani.
Unakumbukwa sana na mama yako mzazi Amina Mtaturu, mke wako mpenzi Naiz Mavura, watoto wako wapendwa Nassa na mdogo wake Nolan-Idrissa; kaka na dada zako, wakwe zako, shemeji zako pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zako lukuki.
Tunamshukuru Mungu ambaye anaendelea kutupa nguvu ya kuishi pasi na uwepo wako--ni mmoja wa neema na miujiza yake Allah. Tunaendelea kukuombea dua ili Mungu aendelee kukupumzisha kwa amani huku ukitusubiri katika Ufalme wake wa milele.

Inna Lillah wa Inna Illayh Raj'un
"Sisi ni wa Mwenyezi mungu na kwake Tutarejea"


Hivyo makala Kumbukumbu

yaani makala yote Kumbukumbu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kumbukumbu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/kumbukumbu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kumbukumbu"

Post a Comment