RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AHUDHURIA TAARAB YA KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KISWANI PEMBA

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AHUDHURIA TAARAB YA KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KISWANI PEMBA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AHUDHURIA TAARAB YA KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KISWANI PEMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AHUDHURIA TAARAB YA KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KISWANI PEMBA
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AHUDHURIA TAARAB YA KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KISWANI PEMBA

soma pia


RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AHUDHURIA TAARAB YA KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KISWANI PEMBA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waziri wa Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Mhe.Balozi Ali Karume, wakifuatilia moja ya nyimbo ya kikundi hicho “Wakezi na Wakulima ” iliokuwa ikiimbwa na Msanii. Makame Faki, wakati wa hafla hiyo iliofanyika Uwanja wa Kufurahishia Watoto Tibirinzi Pemba.(Picha na Ikulu) 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwanachama wa CUF Mbunge Mstaaf Mussa Haji Kombo, baada ya kumaliza hafla ya Taraab rasmi ya kusherehekea Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, iliofanyika katika Uwanja wa Kufurahishia Watoto Tiborinzi Chakechake Pemba.kushoto Mwenyekiti wa CUF Taifa Mhe. Profesa Ibrahim Lipumba, wakiagana baada ya kumalizika kwa Taarab, jana usiku.12-1-2019.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Waziri wa Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Mhe. Balozi Ali Abeid Karume, baada ya kumalizika kwa hafla ya Taraab rasmin ya kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliofanyika katika Uwanja wa Kufurahishia Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba,kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama baada ya kuwasili katika Uwanja wa Kufurahishia Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba, wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa na Kikundi cha Taraab cha Taifa, kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kushoto Waziri wa Vijana Michezo,Utamaduni na Sanaa.Mhe. Balozi Ali Karum, wa mwisho Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
BAADHI ya Mawaziri Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wananchi wakiwa wamesimama wakati wa kupigwa Wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya Taraab Rasmin ya kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar iliopigwa na Kikundi cha Taraab cha Taifa Zanzibar.
BAADHI ya Wananchi waliokuwa wakihudhuria hafla ya Taraab rasmin ya kusherehekea Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakiwa katika Uwanja wa Kufurahishia Watoto Tibirinzi Pemba wakifuatilia hafla hiyo.(Picha Ikulu) 
MSANII wa Kikundi cha Taifa cha Tarab Zanzibar Bi. Amina Abdallah, akiwa jukwaani akiimbo “Wimbo Umewashuka) wakati wa hafla hiyo ya musherehekea Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, iliofanyika katika Uwanja wa Tibirinzi Pemba jana usiku.(Picha na Ikulu) 


Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AHUDHURIA TAARAB YA KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KISWANI PEMBA

yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AHUDHURIA TAARAB YA KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KISWANI PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AHUDHURIA TAARAB YA KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KISWANI PEMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/rais-wa-zanzibar-dk-shein-ahudhuria_14.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AHUDHURIA TAARAB YA KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KISWANI PEMBA"

Post a Comment