UJENZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KWENYE MJI WA SERIKALI, IHUMWA DODOMA WASHIKA KASI

UJENZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KWENYE MJI WA SERIKALI, IHUMWA DODOMA WASHIKA KASI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UJENZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KWENYE MJI WA SERIKALI, IHUMWA DODOMA WASHIKA KASI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UJENZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KWENYE MJI WA SERIKALI, IHUMWA DODOMA WASHIKA KASI
kiungo : UJENZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KWENYE MJI WA SERIKALI, IHUMWA DODOMA WASHIKA KASI

soma pia


UJENZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KWENYE MJI WA SERIKALI, IHUMWA DODOMA WASHIKA KASI

 Muonekano wa Jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mji wa Serikali, Ihumwa, linaloendelea kujengwa na Mkandarasi  Mzinga Holding Company, tarehe 13 Januari, 2019, Dodoma.
 Katibu Mkuu Wizara ya  Ulizi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Florence Turuka akikaribishwa na Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi Rasilimali watu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Nigel Msangi, alipofika kukagua shughuli za Mkandarasi Mzinga Holding Campony, anayejenga jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mji wa serikali Ihumwa Dodoma.,   Mkandarasi huyo yupo chini ya Wizara ya Ulizi, mwingine ni Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA-JKT, Kanali Rajab Mabele, tarehe 13 Januari, 2019.
 Katibu Mkuu Wizara ya Ulizi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Florence Turuka akipata maelezo kutoka kwa Mratibu Ujenzi jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu wa  Mkandarasi Mzinga Holding Company, Kapteni, Erick Siara wakati alipofika  kukagua shughuli za Mkandarasi huyo katika mji wa serikali, Ihumwa , Dodoma, Mkandarasi huyo yupo chini ya wizara ya Ulizi,   tarehe 13 Januari, 2019.
Mmoja wa mafundi wa Mkandarasi Mzinga Holding Company, akijenga sehemu ya ukuta wa jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu, katika mji wa serikali, Ihumwa  Dodoma,   tarehe 13 Januari, 2019.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI  MKUU)


Hivyo makala UJENZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KWENYE MJI WA SERIKALI, IHUMWA DODOMA WASHIKA KASI

yaani makala yote UJENZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KWENYE MJI WA SERIKALI, IHUMWA DODOMA WASHIKA KASI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UJENZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KWENYE MJI WA SERIKALI, IHUMWA DODOMA WASHIKA KASI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/ujenzi-wa-ofisi-ya-waziri-mkuu-kwenye.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UJENZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KWENYE MJI WA SERIKALI, IHUMWA DODOMA WASHIKA KASI"

Post a Comment