title : KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII (UFUNDI) MISUNGWI.
kiungo : KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII (UFUNDI) MISUNGWI.
KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII (UFUNDI) MISUNGWI.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga( wa pili kulia) akiongozana na watendaji kutoka Wizarani pamoja na viongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi alipotembelea katika Chuo hicho kwa ziara ya kikazi hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga(wa tatu kulia) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi Mhandisi Harold Jackson Mtyana (kulia) alipokuwa akimuelezea kuhusu chumba cha Kompyuta cha Chuo hicho wakati wa ziara yake ya kikazi hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga akitumia moja ya Kompyuta zilizopo katika Chumba cha Kompyuta cha Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi ikiwa ni mradi uliwezeshwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Korea ya Kusini.
Muonekano Chumba cha Kompyuta cha Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi ikiwa ni mradi uliwezeshwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanznia na Serikali ya Korea ya Kusini.Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Misungwi Mwanza.
Hivyo makala KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII (UFUNDI) MISUNGWI.
yaani makala yote KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII (UFUNDI) MISUNGWI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII (UFUNDI) MISUNGWI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/katibu-mkuu-maendeleo-ya-jamii.html
0 Response to "KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII (UFUNDI) MISUNGWI."
Post a Comment