title : BENKI YA UBA YAWAVUTIA WATEJA KATIKA MAONESHO YA SABASABA
kiungo : BENKI YA UBA YAWAVUTIA WATEJA KATIKA MAONESHO YA SABASABA
BENKI YA UBA YAWAVUTIA WATEJA KATIKA MAONESHO YA SABASABA
Afisa wa Bank ya UBA Tanzania, Bi. Mtinta Joseph Ringa pamoja na afisa wa bank Bw. Sihika Malunguja wakifurahi kumuhudumia mmoja wa wateja aliyetembelea banda la bank ya UBA Tanzania katika Maonyesho ya 41 ya kibiashara Tanzania yaliyoanza hivi karibu. Bank ya UBA inawakaribisha wateja wote kuweza kufika katika banda lao kwaajili ya kujipatia huduma mbalimbali za kibenki ikiwemo na kufungua akaunti na kujipatia kadi mpya ya Mastercard ambayo unaweza kuwa nayo bila kuwa na akaunti.
Afisa wa benki ya UBA Tanzania, Bw. Fahimu Zuberi akimpatia maelezo kuhusiana na kadi mpya za mastercard mmoja wa wateja waliotembelea banda la benki hiyo lililopo katika banda la Sabasaba kwenye maonyesho ya 41 ya kibiashara ya kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere vilivyopo barabara ya Kilwa Jijini Dar Es Salaam.
Afisa wa benki ya UBA Tanzania, Bw Fahimu Zuberi akiendelea kumpatia maelekezo ya kina kuhusiana na kadi mpya mpya za mastercard ambazo mteja anaweza kuwa nayo bila kuwa na akaunti ya benki
Hivyo makala BENKI YA UBA YAWAVUTIA WATEJA KATIKA MAONESHO YA SABASABA
yaani makala yote BENKI YA UBA YAWAVUTIA WATEJA KATIKA MAONESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA UBA YAWAVUTIA WATEJA KATIKA MAONESHO YA SABASABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/benki-ya-uba-yawavutia-wateja-katika.html
0 Response to "BENKI YA UBA YAWAVUTIA WATEJA KATIKA MAONESHO YA SABASABA"
Post a Comment