title : Vyombo vya Habari vya Serikali vimetakiwa kufuata Maadili ya Uandishi wa Habari
kiungo : Vyombo vya Habari vya Serikali vimetakiwa kufuata Maadili ya Uandishi wa Habari
Vyombo vya Habari vya Serikali vimetakiwa kufuata Maadili ya Uandishi wa Habari
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Bw. HAB Mkwizu (kulia) akizungumza na Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati) alipofanya ziara katika Kampuni hiyo jana Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji TSN Dkt. Jim Yonazi
Mhariri wa gazeti la Daily News Bw. Leonard Mwakalebela (kushoto) akimwelezea Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kulia) namna habari zinavopitiwa na kupangwa katika gazeti hilo alipofanya ziara katika kampuni ya TSN jana Jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (watano kushoto) katika picha ya pamoja na menejimenti ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) alipofanya ziara katika kampuni hiyo na kuangali shughuli zinazofanywa na kampuni hiyo jana Jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati) akimsikiliza mkuu wa TBC International Bw. Deogratius Salufu (kulia) alipotembela studio za redio hiyo jana wakati wa ziara yake katika Shirika la Utangazani la Taifa (TBC) Jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kulia) akiwa katika meza ya kusomea taarifa ya habari ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) jana wakati wa ziara yake katika TBC Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Dkt. Ayoub Rioba
Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (watatu kushoto) katika picha ya pamoja na menejimenti ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) jana wakati wa ziara yake TBC Jijini Dar es Salaam. Watatu kulia ni Mkurugenzi Mkuu TBC Dkt. Ayoub Rioba. Picha na:Genofeva Matemu - WHUSM. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA
Hivyo makala Vyombo vya Habari vya Serikali vimetakiwa kufuata Maadili ya Uandishi wa Habari
yaani makala yote Vyombo vya Habari vya Serikali vimetakiwa kufuata Maadili ya Uandishi wa Habari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Vyombo vya Habari vya Serikali vimetakiwa kufuata Maadili ya Uandishi wa Habari mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/vyombo-vya-habari-vya-serikali.html
0 Response to "Vyombo vya Habari vya Serikali vimetakiwa kufuata Maadili ya Uandishi wa Habari"
Post a Comment