title : DKT KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA MADAKTARI NA WANASAYANSI WA SIKU MBILI JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : DKT KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA MADAKTARI NA WANASAYANSI WA SIKU MBILI JIJINI DAR ES SALAAM
DKT KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA MADAKTARI NA WANASAYANSI WA SIKU MBILI JIJINI DAR ES SALAAM
Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii Jinsia Watoto na Wazee, Dk Khamisi Kigwangalla akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa tano wa Madaktari uliofanyika katika ukumbi wa Kisenga Makumbusho jijini Dar es Salaam .
Sehemu ya madaktari na wanasayansi walioshiriki mkutano huo ambao unajadili masuala mbalimbali ya tiba katika bara la Afrika na hapa nchini
Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii Jinsia Watoto na Wazee, Dkt Khamisi Kigwangalla akikagua maonyesho ya Dawa yaliyopo nje ya mkutano huo
Sehemu ya madaktari na Wanasayansi walioshiriki mkutano huo ambao unajadili masula mbalimbali ya tiba katika bara la afrika na hapa nchini
Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii Jinsia Watoto na Wazee, Dk Khamisi Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa meza kuu na washirika wa Maendeleo nchini
Hivyo makala DKT KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA MADAKTARI NA WANASAYANSI WA SIKU MBILI JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote DKT KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA MADAKTARI NA WANASAYANSI WA SIKU MBILI JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA MADAKTARI NA WANASAYANSI WA SIKU MBILI JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/dkt-kigwangalla-afungua-mkutano-wa-tano.html
0 Response to "DKT KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA MADAKTARI NA WANASAYANSI WA SIKU MBILI JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment