WIZARA YA MAMBO YA NDANI WAKUTANA KUJADILI MPANGO KAZI NA MPANGO WA UNUNUZI WA BAJETI YA 2017/2018

WIZARA YA MAMBO YA NDANI WAKUTANA KUJADILI MPANGO KAZI NA MPANGO WA UNUNUZI WA BAJETI YA 2017/2018 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YA MAMBO YA NDANI WAKUTANA KUJADILI MPANGO KAZI NA MPANGO WA UNUNUZI WA BAJETI YA 2017/2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YA MAMBO YA NDANI WAKUTANA KUJADILI MPANGO KAZI NA MPANGO WA UNUNUZI WA BAJETI YA 2017/2018
kiungo : WIZARA YA MAMBO YA NDANI WAKUTANA KUJADILI MPANGO KAZI NA MPANGO WA UNUNUZI WA BAJETI YA 2017/2018

soma pia


WIZARA YA MAMBO YA NDANI WAKUTANA KUJADILI MPANGO KAZI NA MPANGO WA UNUNUZI WA BAJETI YA 2017/2018

Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mipango na Bajeti wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Amani Mashaka(katikati), akitoa maelekezo kwa watumishi ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakati wa kikao cha Mpango Kazi na Mpango wa Ununuzi wa bajeti ya wizara hiyo.Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Bwalo la Jeshi la Magereza,Ukonga,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mtumishi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Fatuma Mohamed (aliyevaa miwani), akiomba ufafanuzi kutoka kwaKaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mipango na Bajeti wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Amani Mashaka(aliyesimama kulia) wakati wa Kikao cha Mpango Kazi na Mpango wa Ununuzi wa bajeti ya wizara.Kikao kimefanyika leo katika Ukumbi wa Bwalo la Jeshi la Magereza,Ukonga,jijini Dar es Salaam.
Mratibu Mwandamizi wa Uhamiaji,Colla Kayumba, akizungumza na watumishi wengine wa idara hiyo,Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji,Said Kassim(katikati) na Mkaguzi Msaidizi Sanga Hussein, wakati wa Kikao cha Mpango Kazi na Mpango wa Ununuzi wa bajeti ya wizara.Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Jeshi la Magereza,Ukonga,jijini Dar es Salaam


Hivyo makala WIZARA YA MAMBO YA NDANI WAKUTANA KUJADILI MPANGO KAZI NA MPANGO WA UNUNUZI WA BAJETI YA 2017/2018

yaani makala yote WIZARA YA MAMBO YA NDANI WAKUTANA KUJADILI MPANGO KAZI NA MPANGO WA UNUNUZI WA BAJETI YA 2017/2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA MAMBO YA NDANI WAKUTANA KUJADILI MPANGO KAZI NA MPANGO WA UNUNUZI WA BAJETI YA 2017/2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/wizara-ya-mambo-ya-ndani-wakutana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WIZARA YA MAMBO YA NDANI WAKUTANA KUJADILI MPANGO KAZI NA MPANGO WA UNUNUZI WA BAJETI YA 2017/2018"

Post a Comment