title : MAKUNDI YA UOKOAJI YAENDELEA MANUSURA ZIWA VICTORIA.
kiungo : MAKUNDI YA UOKOAJI YAENDELEA MANUSURA ZIWA VICTORIA.
MAKUNDI YA UOKOAJI YAENDELEA MANUSURA ZIWA VICTORIA.
Watu 86 wathibitishwa kufa hadi sasa ajali ya kivuko cha MV Nyerere
Makundi ya uokoaji kaskazini mwa Tanzania yamerejelea shughuli zao kuwatafuta manusura kwenye ajali ya feri iliyopinduka huko Ziwa Victoria.
Hadi sasa ni watu 86 ambao wamethibitishwa kufa. Watu 37 waliokolewa hiyo jana wakiwa hali mbaya kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela, ambaye amezungumza na vyombo vya habari leo asubuni.
Hivyo makala MAKUNDI YA UOKOAJI YAENDELEA MANUSURA ZIWA VICTORIA.
yaani makala yote MAKUNDI YA UOKOAJI YAENDELEA MANUSURA ZIWA VICTORIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKUNDI YA UOKOAJI YAENDELEA MANUSURA ZIWA VICTORIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/makundi-ya-uokoaji-yaendelea-manusura.html
0 Response to "MAKUNDI YA UOKOAJI YAENDELEA MANUSURA ZIWA VICTORIA."
Post a Comment