POLEPOLE AKUTANA NA UJUMBEA WA NIMD YA UHOLANZI, LEO

POLEPOLE AKUTANA NA UJUMBEA WA NIMD YA UHOLANZI, LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLEPOLE AKUTANA NA UJUMBEA WA NIMD YA UHOLANZI, LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLEPOLE AKUTANA NA UJUMBEA WA NIMD YA UHOLANZI, LEO
kiungo : POLEPOLE AKUTANA NA UJUMBEA WA NIMD YA UHOLANZI, LEO

soma pia


POLEPOLE AKUTANA NA UJUMBEA WA NIMD YA UHOLANZI, LEO


 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akimsalimia Meneja Mradi wa kushawishi Siasa Shirikishi katika kuimarisha vyama vya Siasa hapa nchini, hasa katika ushiriki wa Wanawake na Vijana katika masuala ya Siasa, unaoendeshwa na Kituo cha Demokrasia ya Vyama Vingi cha Uholanzi (NIMD) kwa kushirikiana na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD),  Arjan Van Der Waal, wakati alipokutana na ujumbe wa Meneja huyo na Mwakilishi wa NIMD Kanda ya Afrika Dk. Augustine Magolowondo (kulia), katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Watatu kulia ni Mwenyeji wa ugeni huo, Daniel Loyc kutoka TCD. 

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akimsalimia Mwakilishi wa Kituo cha Demokrasia ya Vyama Vingi cha Uholanzi (NIMD) Kanda ya Afrika Dk. Augustine Magolowondo kutoka Malawi, alipopokea na kufanya mazungumzo na ugeni huo kutoka NIMD, leo
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akiwakaribisha kuketi kwa ajili ya kuendelea na mazungumzo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akizungumza na ujumbea kutoka Kituo cha Demokrasia ya Vyama Vingi cha Uholanzi (NIMD) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Katika Mazungumzo hayo, Polepole aliitaka NIMD kuja kufanya kazi nchini kwa lengo la kuinua hadhi ya siasa nchini badala ya kubomoa. “Hatutarajii NIMD ije kufanya mambo hasi, mradi usilenge kuondoa madarakani Chama tawala, bali uwe chachu katika kuhamasisha uungaji mkono mambo mazuri yanayofanywa na Rais Dk. John Magufuli kama haya ya kulinda rasilimali za nchi”, alisema Polepole. MAELEZO/PICHA NA BASHIR NKOROMO


Hivyo makala POLEPOLE AKUTANA NA UJUMBEA WA NIMD YA UHOLANZI, LEO

yaani makala yote POLEPOLE AKUTANA NA UJUMBEA WA NIMD YA UHOLANZI, LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLEPOLE AKUTANA NA UJUMBEA WA NIMD YA UHOLANZI, LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/polepole-akutana-na-ujumbea-wa-nimd-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "POLEPOLE AKUTANA NA UJUMBEA WA NIMD YA UHOLANZI, LEO"

Post a Comment