title : WAZIRI WA AFYA ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZI
kiungo : WAZIRI WA AFYA ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZI
WAZIRI WA AFYA ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZI
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitia saini kitabu cha maombolezi kufuatia kifo cha Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Umoja wa mataifa linaloshughulikia idadi ya Watu Duniani Dr. Babatunde Osotimehin kilichotokea tarehe 4/06/2017.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu Duniani Batula Abdi wakati alipokwenda kutia saini kitabu cha maombolezi kufuatia kifo cha Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Umoja wa mataifa linaloshughulikia idadi ya Watu Duniani Dr. Babatunde Osotimehin kilichotokea tarehe 4/06/2017.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala WAZIRI WA AFYA ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZI
yaani makala yote WAZIRI WA AFYA ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA AFYA ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-wa-afya-atia-saini-kitabu-cha.html
0 Response to "WAZIRI WA AFYA ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZI"
Post a Comment