VODACOM YATOA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA ZA KIFEDHA KWA WANAFUNZI IFM

VODACOM YATOA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA ZA KIFEDHA KWA WANAFUNZI IFM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VODACOM YATOA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA ZA KIFEDHA KWA WANAFUNZI IFM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VODACOM YATOA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA ZA KIFEDHA KWA WANAFUNZI IFM
kiungo : VODACOM YATOA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA ZA KIFEDHA KWA WANAFUNZI IFM

soma pia


VODACOM YATOA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA ZA KIFEDHA KWA WANAFUNZI IFM


Meneja wa Biashara na Mkakati wa Mauzo wa Vodacom Tanzania Plc kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Caleb Majo (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Fedha (IFM) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na uelewa wa teknolojia za kifedha jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Semina hiyo imefanyika chini ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Taasisi ya Green Hope ili kuhakikisha wanafunzi hao wanapata ufahamu wa teknolojia hizo na mchango wake katika kuchochea ushirikishwaji wa kifadha.
Meneja wa Biashara na Mkakati wa Mauzo wa Vodacom Tanzania Plc kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Caleb Majo (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Fedha (IFM) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na uelewa wa teknolojia za kifedha jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Meneja mauzo wa eneo la katikati ya jiji wa Vodacom Tanzania Plc, George Nyanda (kulia) akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Fedha (IFM) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na uelewa wa teknolojia za kifedha jana jijini Dar es Salaam. Semina hiyo imetolewa chini ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Taasisi ya Green Hope ili kuhakikisha vijana wanapata ufahamu wa teknolojia hizo na mchango wake katika kuchochea ushirikishwaji wa kifedha.
Meneja mauzo wa eneo la katikati ya jiji wa Vodacom Tanzania Plc, George Nyanda (kulia) akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Fedha (IFM) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na uelewa wa teknolojia za kifedha jana jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala VODACOM YATOA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA ZA KIFEDHA KWA WANAFUNZI IFM

yaani makala yote VODACOM YATOA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA ZA KIFEDHA KWA WANAFUNZI IFM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM YATOA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA ZA KIFEDHA KWA WANAFUNZI IFM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/vodacom-yatoa-mafunzo-ya-teknolojia-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VODACOM YATOA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA ZA KIFEDHA KWA WANAFUNZI IFM"

Post a Comment