title : Waziri Mwijage aipongeza serikali ya Norway
kiungo : Waziri Mwijage aipongeza serikali ya Norway
Waziri Mwijage aipongeza serikali ya Norway
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza na wadau mbalimbali wa maswala ya Gesi kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya Satoil yenye makao yake makuu nchini Norway, iliyoyangika kwenye Hotel Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo. Waziri Mwijage ameipongeza serikali ya Norway kwa kuona umuhimu wa kuwekeza kwenye GAS hapa nchini, kwani wao wamekuwa ni wakongwe kwenye sekta hiyo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Borge Brende akizungumza na wadau mbalimbali wa maswala ya Gesi kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya Satoil jijini Dar Es Salaam leo.
Meneja Mkazi wa Statoil Tanzania, Oystein Michelsen akizungumza na wadau mbalimbali wa maswala ya Gesi kwenye warsha lililoandaliwa na kampuni ya Satoil jijini Dar Es Salaam leo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Statoil Tanzania , Genevieve Kasanga akizungumza katika warsha hiyo.
Hivyo makala Waziri Mwijage aipongeza serikali ya Norway
yaani makala yote Waziri Mwijage aipongeza serikali ya Norway Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mwijage aipongeza serikali ya Norway mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-mwijage-aipongeza-serikali-ya.html
0 Response to "Waziri Mwijage aipongeza serikali ya Norway"
Post a Comment